Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti anasisitiza kwamba hawammiss Mesut Ozil
mchezaji
waliyemuuza kwenda Arsenal licha ya kwamba mchezaji huyo kuwa na mwanzo mzuri huku akiisaidia timu yake kuongoza ligi ya Uingereza na kundi lao katika ligi ya Mabingwa Ulaya.
"Sijuti kumuuza Ozil" Ancelotti aliwaambia wanahabari,aliendelea,"ninamtakia kila la heri lakini hatumuhitaji kwa kuwa tunafanya vizuri katika ushambuliaji bila yeye".
"tunatakiwa kubalance kwani tunafunga magori mengi lakini pia tunafungwa mengi"
MECHI ZA LIGI KUU
UINGEREZA leo tarehe 05/10/2013
|
No comments:
Post a Comment