Saturday, October 5, 2013

Baadhi ya picha za Fiesta Tanga Oct 4 2013....Si mchezo!!


9 
Ilikuwa balaa,watu walifurika ile mbaya!......


10
7
8
14 

Hii picha ya juu ni ya upande wa kulia mwa stage
3 

Meninah kwenye stage
2
4
5 

Walter Chilambo mshindi wa BSS 2012.
6
Ney Lee.
11 

Linah.
12
B12 ndio alikua host wa show nzima
13 

Godzilla kutoka Salasala
15
Hii picha hapa juu ni upande wa kushoto mwa stage
16 

Shilole kama kawaida
17
18
19
20
21
22
Juma Nature alikuepo pia
23
Young Killer wa Mwanza Mwanza
24
Young Killer na Stamina.
25
26
27 

Mr. Blue
28
29 

Rich Mavoco
30
R.I.P kwa wote waliotutangulia kama Langa, Sharo Milionea na Ngwair.
31
Cassim Mganga
32
Mwana FA na Ay.
33
J Martins kutoka Nigeria alikuepo pia… hapa ni wakati alipoamua kumzawadia huyu mtoto cheni aliyokua amevaa pamoja na pesa za kitanzania.
34
35
37
Ay, J Martins na Mwana FA wakicheza bila kukunja goti.
36
Dully Sykes ni miongoni mwa waliofanya kazi nzuri sana yani…
Maunda Zorro
Maunda Zorro

No comments:

Post a Comment

google +

google +
chris kyando

FIND US ON FACEBOOK