.pichani:wasamalia wakimpakia Dereva wa Lori la IT akiwa
amevunjika mguu baada ya lori lake kugongana uso kwa uso na fuso.
Ajali za barabarani zimeendelea kutoa roho za ndugu zetu huku zikiacha
walemavu wengi.Ajali mbaya imetokea jana majira ya saa 12:50 jioni
katika wilaya ya kilolo mkoani Iringa katika barabara kuu ya Dar es
salaam-Iringa.Katika ajali hiyo lori la IT na fuso yamegongana uso kwa
uso na kusababisha vifo ya dereva wa fuso na konda wake huku ikiacha
majeruhi ,dereva wa lori la IT na abiria aliyekuwa naye
hii ni picha jinsi mguu ulivyoharibiwa na ajali.Inatisha!
No comments:
Post a Comment