Monday, October 7, 2013

Tanzania yashika mkia katika kutunza wazee!


Utafiti  unaotizama hali ya watu wazee na mazingira wanamoishi, ulifanywa katika mataifa 91. Norway na Ujerumani, zilikuwa katika nafasi za juu huku Uingereza ikiwa katika nafasi ya 13.
Utafiti huo ulikusanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la kukadiria idadi ya watu, UNPF na shirika la kimataifa la kutetea maslahi ya wazee HelpAge
Watafiti wanasema walitumia vigezo 13 ikiwemo mapato, ajira, huduma za afya, Elimu, na mazingira....katika kile wanachosema ni utafiti wa kwanza wa aina yake duniani.
Sweden ilikuwa ya kwanza katika nchi bora zaidi kwa kukidhi mahijati ya wazee, Afghanistan ,Tanzania na Pakistani zilikuwa za mwisho.
Nadhani sasa bora tubaki kuwa vajana milele.

Bibi wa Swideni

No comments:

Post a Comment

google +

google +
chris kyando

FIND US ON FACEBOOK