Kitabu maarufu kwa Rekodi za watu ambao wanavitu vya tofauti au waliwahi kufanya vitu vya tofauti na wengine,watalaamu wahusika wameridhika kwamba binti anayeaminika kuwa na nywele nyingi mwilini mwake pengine kuliko yeyote duniani akiwa na umri wa miaka 11 tu aingizwe katika kitabu hicho.
Hapa Supatra akiwa na wanafunzi wenzake shuleni.
Supatra anashiriki michezo pia kama anavyoonekana
Pengine siyo wewe tu unashangaa,hata akiwa matembezini wengi humwangalia
Supatra anafamilia inayompenda,hapa kutoka kushoto ni dada yake anaitwa Sukanya,baba yake anaitwa Sammrueng na mama yao Somphon(mwendo wa SSSS)
Supatra akipata msosi shuleni
Nywele zake hukua sana,hivyo mama yake humpunguza kwa mkasi asitishe sana!
No comments:
Post a Comment