Monday, October 7, 2013

Cheki hii: Hashim Thabit akiwa na Robin Van Persie


Mchezaji nyota wa Manchester United na mshindi wa Kiatu cha dhahabu  misimu miwili mfululizo Robin Van Perse akiwa na Mtanzania Hashim Thabit mcheza kikapu wa ligi ya NBA ya Marekani katika timu ya Oklahoma City Thunder.Toa maoni yako unaionaje picha hii.

RVP anaonekana 'dwarf"  mbele ya Hashimu mwenye urefu wa  futi 7 na nchi 3.

No comments:

Post a Comment

google +

google +
chris kyando

FIND US ON FACEBOOK