Thursday, January 6, 2022
MHE. JOB NDUGAI AJIUZULU USPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai awasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika kwa hiari yake mwenyewe.
Nini maoni yako kwa hatua hii ya Spika wa Bunge kujiuzulu?
Saturday, October 17, 2015
Friday, October 16, 2015
M-Pesa yanasa polisi Kenya, 63 watimuliwa
Maafisa wa ngazi za juu 63 wa jeshi la polisi nchini Kenya
wamefukuzwa kazi katika juhudi za kusafisha jeshi hilo kutokana na madai
ya rushwa. Miongoni mwa waliofukuzwa ni pamoja na aliyekuwa msemaji wa
jeshi hilo Masoud Mwinyi.